Breaking: Moto Wateketeza Maduka Sinza Mapambano

13 0Breaking: Moto Wateketeza Maduka Sinza Mapambano

Maduka matatu yaliyopo maeneo ya Sinza, Mapambano karibu na Ofisi za TRA, yameteketea kwa moto leo Jumatatu, Septemba 7, 2020, asubuhi, majira ya saa tano.

Chanzo cha moto huo bado hakijajulikana na taarifa zaidi juu ya uharibifu wa mali zilizoteketea bado hazijatolewa.
Endelea kufuatilia taarifa zetu.Toa comment

Posted from

Related Post

gdfgd – Global Publishers

Posted by - April 27, 2020 0
gdfgd April 27, 2020 by Global Publishers MOROGORO: UKISIKIA Corona imetibua fumanizi, ndio hili lililotokea mkoani Morogoro na kuwanyima wakazi…

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *