Breaking: NEC Yaamua Rufaa 55 Wagombea Ubunge – Video

3 0Breaking: NEC Yaamua Rufaa 55 Wagombea Ubunge – Video

Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Dkt. Wilson Mahera Charles, akitoa taarifa kwa umma kuhusu zoezi la kupitia na kufanya uamuzi wa rufaa za wagombea ubunge leo Septemba 8, 2020, jijini Dar es Salaam.

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) inaendelea na zoezi la kupitia, kuchambua na kuzifanya uamuzi rufaa za wagombea ubunge zilizowasilishwa na wagombea kupitia kwa wasimamizi mbalimbali wa uchaguzi nchi nzima ambapo leo Septemba 8, 2020 imeamua rufaa 55 za wagombea ubunge  ifatavyo:Toa comment

Posted from

Related Post

Umempa Sababu ya Kuwa na wWewe?

Posted by - February 10, 2020 0
Umempa Sababu ya Kuwa na wWewe? February 10, 2020 by Global Publishers UKITAKA mpenzi wako akuchoke au umchoke, wewe ndiye…

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *