Breaking: NEC Yaamua Rufaa 55 Wagombea Ubunge

13 0Breaking: NEC Yaamua Rufaa 55 Wagombea Ubunge

Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Dkt. Wilson Mahera Charles, akitoa taarifa kwa umma kuhusu zoezi la kupitia na kufanya uamuzi wa rufaa za wagombea ubunge leo Septemba 8, 2020, jijini Dar es Salaam.

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) inaendelea na zoezi la kupitia, kuchambua na kuzifanya uamuzi rufaa za wagombea ubunge zilizowasilishwa na wagombea kupitia kwa wasimamizi mbalimbali wa uchaguzi nchi nzima ambapo leo Septemba 8, 2020 imeamua rufaa 55 za wagombea ubunge  ifatavyo:Toa comment

Posted from

Related Post

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *