BREAKING NEWS! LORI LA MAFUTA LALIPUKA, LAUA MAMIA MORO

8 0

BREAKING NEWS! LORI LA MAFUTA LALIPUKA, LAUA MAMIA MORO

 Habari zilizotufikia hivi punde zinaeleza kuwa, lori la mafuta limelipuka asubuhi hii Agosti 10, maeneo ya Msamvu mkoani Morogoro na kuua idadi kubwa ya watu ambayo bado haijafahamika. Habari kamili inakujia hivi punde.

Loading…

Toa comment

Posted from

Related Post

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *