Caby: Sikuacha muziki kwa sababu ya Ruge, niliahidi siwezi kufa na kipaji changu ntafanya muziki tu (+Video)

8 0

Msanii wa muziki wa Bongo Fleva @cabynedvarda ambaye pia ni mzazi mwenza na marehemu Ruge Mutahaba ameweka wazi sababu za kusiamma kwenye muziki kwa miaka 10 na sasa kuamua kurudi rasmi.

Caby ameeleza kuwa hakuacha muziki kwa sababu ya marehemu Ruge bali kuna mambo ambayo alikuwa anayafanya yanayohusu muziki.

“Niliahidi siwezi kufa na kipaji changu nilisema siku yoyote, mwaka wowote ntarudi tu kwenye muziki ili kuwaonyesha watu kitu gani nilichokuwa nacho, na sasa ndio nimerudi”

Posted from

Related Post

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *