CCM na ujanja wetu huko nyuma hatukumshinda Maalim Seif – Bernard Membe

26 0

liyekuwa mwanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Bernard Kamilius Membe hii leo Julai 16 ametangazwa rasmi kujiunga na na ACT Wazalendo yeye na familia yake.

“CCM na ujanja wetu huko nyuma hatukumshinda @SeifSharifHamad Pemba hawawezi kuichukua na hawatoichukua na Maalim ni mjanja katika siasa hizi, kwahiyo tuko hapa na Rais mpya wa Zanzibar nasema sifa hizi wala si kwa kujipendekeza” – Bernard Membe

“Kiongozi wangu @zittokabwe wewe ni mfano wa vijana na ninashukuru vijana wadogo kama kina Nondo unawalea, toka tulipokutana miaka ya 2000 ukiwa na Mama yako mzazi, wewe unapenda binadamu na kuheshimu wenzako, Mungu na Malaika wako na wewe” – Bernard Membe

Posted from

Related Post

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *