CHAUMA chini ya Hasim Rungwe yaahidi kujenga Daraja kutoka Zanzibar hadi DSM na kugawa chakula bure mashuleni (+Video)

2 0

“Mimi nikiingia pale nawahakikishieni kitu cha kwanza watoto wapate chakula, 20 za kwanza ni mipango ya watoto shule halafu wale watu wazima wanaolala na watoto mahospitali nchi nzima watapata chakula hospitali bure”

“Chagueni CHAUMA watoto wenu watapata ubwaubwa mashuleni. Darasa la kwanza sisi tulikuwa tunapewa vitabu vya kiada vyote lakini nyinyi mmesahaulishwa kabisa hamjui kama vinatoka na kalamu bure”

Posted from

Related Post

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *