Christian Bella afunguka kujenga ghorofa mbili Dar (Video)

17 0

Msanii wa muziki @bellachristian1 amefunguka kuzungumzia ghorofa zake mbili ambazo amezijenga huko Mbweni jijini Dar Es Salaam. Amesema baada ya kupost clips ya mjengo huo, kuna watu wengi wanamuiliza kwanini anamiliki nyumba Tanzania wakati yeye ni raia wa Congo.

Posted from

Related Post

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *