Christian Bella kuachia albamu mpya, kuachia ngoma 5 kuonjesha uhondo (Video)

1 0

Mkali wa masauti @bellachristian1 ametangaza ujio wa albamu yake mpya ambapo kila siku kuanzia leo aachia video na wimbo mpaka siku ya uzinduzi. Katika hatua nyingine amesema licha ya ukimya wake lakini yeye ni msanii kati ya wasanii watato wa Tanzania ambayo wanakubalika na kufanya show nyingi.

Posted from

Related Post

Kifo Mikononi Mwangu (Sehemu ya 5)

Posted by - September 4, 2019 0
Kifo Mikononi Mwangu (Sehemu ya 5) September 4, 2019 by Global Publishers ILIPOISHIA IJUMAA… KUNA mtu mwingine aliyekuwa amepiga picha…

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *