Corona yapelekea Pogba atolewa ndani ya kikosi cha Ufaransa

10 0

Mchezaji wa Manchester United Paul Pogba amepatikana na virusi vya corona na hivyo kuenguliwa katika kikosi cha timu ya taifa ya Ufaransa kwa mujibu wa Didier Deschamps.

Nyota huyo mwenye umri wa miaka 27, atahitajika kujitenga na wala hatoshiriki michezo kadhaa itakayopigwa na timu yake ya taifa ya Ufaransa.

Pogba huwenda akawa sehemu ya kikosi cha kwanza cha Man United kitakachoshuka dimbani Septemba 19 kuwakabili Crystal Palace ndani ya uwanja wa Old Trafford ikiwa ni mchezo wao wa kwanza wa ufunguzi wa Priemier League.

“Kila mmoja United anamtakia Paul afya njema kabla ya kuanza kwa msimu ujao.” Ujumbe kutoka ndani ya klabu ya Manchester United.

IMEANDIKWA NA HAMZA FUMO, INSTAGRAM @fumo255

Posted from

Related Post

Zari Afufua Uchawi wa Mobeto!

Posted by - July 22, 2020 0
Zari Afufua Uchawi wa Mobeto! July 22, 2020 by Global Publishers MAJIBIZANO ya mchekeshaji Idris Sultan na Zarinah Hassan ‘Zari…

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *