Country Boy afunguka haya baada ya kutambulishwa na kukabidhiwa gari na Harmonize (+Video)

9 0

Msanii wa muziki wa Bongo fleva ambaye ni Rapper Country Boy ameongea kwa mara ya kwanza akiwa chini ya lebo ya Konde Gang iliyopo chini ya Harmonize mara tu baada ya kutambulishwa na kukabidhiwa gari lake mpya.

Country Boy anakuwa msanii wa 6 katika lebo hiyo kwani tayari yupo Harmonize, Ibrah, Skales, Cheed na Killy waliotambulishwa siku kadhaa nyuma na sasa Country boy. Hizo gari mbili kama zinavyoonekana hapo moja ni ya Country boy na nyiingine ya Ibrah.

Posted from

Related Post

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *