Country boy afunguka usiyoyajua kuhusu mkataba wake na Konde Gang, kilichomshawishi kusainiwa na Harmonize (+Video)

9 0

Msanii wa muziki wa Bongo Fleva aliyopo kwenye lebo ya Konde Gang inayosimamiwa na Harmonize Country boy ameeleza kiundani zaidi kuhusu kilichomshawisho kusaini wa lebo hiyo licha ya kuwa alikuwa na uwezo wa kuanzisha lebo yake.

Mbali na hilo Country amezungumzia suala la mkataba wake kuwa aliupitia kwa muda gani na mikataba imekuwa ikiwasumbua wasanii wengi wa muziki wa Bongo Fleva je kwa upande wake mkataba umekaaje.

Country ameongeza kuwa kabla ya kukubali kusainiwa na Harmonize ndani ya Konde Gang aliangalia aina ya lebo anayoenda kujiunga nayo lakini pia itasaidiahe kupelekea muziki wake kimataifa zaidi kwani anaamini yeye ni msanii Intrnational ila alikosea connection zitakazomfikisha pale anapopahitaji.

Posted from

Related Post

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *