D Ukingo feat. Muras -Touch Me (Official Animation Video)

2 5“Touch Me” is a song with elements from two different music cultures(HipHop & Afro) expressing BongoFlava(from Tanzania) romantic vibes.

Written by David Suluja Dickson & William Mushasha
Produced by Mr T Touch –
Mixed & Keys by D Makodi –
Guitar by Denyo Rasmi –
Mastered by Palla Midundo –
Animation by Ngaira Mandara –

Stream & Download

Follow D Ukingo on:

Follow Muras on:

Much thanks to Saibrenz Chill for being part of the animation Story.

Booking:
dukingoh@gmail.com

Lyrics:
Verse 1
Kipenzi you so gorgeous/
Life ina meaning, glorious/
Tukiwa tuna hang out,
Wachora tabasamu langu unaposema hilarious/
Haya mamii sasa gusa/
Huu mwili legeza kama unaususa/
Nkhoii!! Ngosha unanimaliza,
Mechi hii offfside ruhusa/
Bonya kama joti, bonya kizenji/
Kwa haya malipo usirudishe chenji/
Shoulder touch chest touch go down down down touch..*2
Chorus
Touch me touch me with your magic hands,
Touch me, with your magic hands,
Verse 2
Mpenzi ukinigusa, unanimaliza/
Akili yangu unaipeleka mbali/
Ruksa kunigusagusa,kwa mapenzi yako unanifikisha safari/
Yangu mpenzi wangu/
Unanifanya nijione, mwenye furaha/
Kila time mi nafuraha baby/
Ujue mama, mapenzi ni kitu kizuri sana/
Tunavyopendana, kuna watu wanaumia sana/
Yeah yeah yeah, oh baby!
Chorus
Verse 3
Mapoozi..bi dada yako ndio yanayonimaliza/
Na dooooozi…unayonipa usije ukaikatiza/
Napokutazama umejimwaga kwenye kochi/
Upande wa pili macho mulika we ka tochi/
Unanipumzisha mami unanikosha unavyotaka/
Unanirudisha maka pruu utelezi unafuata/
Mpenzi upo, round hii nipo/
Pumzi kamili na mapafu ya apokalipto/
Dakika nyingi zinakwenda, mchezoni/
Referee sahau kipenga kama hauoni/
Ulivyonishika sio rahisi/
Kuchemka na utamu kama spicy/
Shoulder touch chest touch go down down down touch..*2
Chorus

source

Related Post

There are 5 comments

  1. Avatar

    Watu Wakali halafu hatari.. Muras Fundiiiii × D Ukingo Mnyama mkali, Dundo kutoka kwa Producer No1 Bongo Mr T Touchez unadhani kuna nini tena. Hii ni Hit tayari mchawi ni Promo kubwa na Benchi lenye ufundi mwingi Goma linaingia mjini.

    #TeamTouchMe

    Reply

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *