Drake, Tiwa Savage wampagawisha Maua Sama

28 0


Jessca Nangawe

MWANADADA Maua Sama amefunguka nia yake ya kukutana na mastaa
wakubwa duniani akiwemo Drake, Rihanna pamoja na mwanadada Tiwa Savage kutoka
Nigeria kwa lengo la kukuza muziki wake.

Akizungumza na DIMBA, Maua Sama ambaye anafanya vizuri na kibao
chake cha ‘Niteke’ amesisitiza pamoja na ndoto hiyo bado anahitaji kuufikisha
muziki wake mbali zaidi.

ôKila mmoja ana matamanio katika kuimarisha kazi yake,kwa upande
wangu natamani sana kufanya kazi na Drake, Rihanna pamoja Tiwa Savage, ni
wasanii wanaonifanya kila siku nitamani mafanikio yao, naamini ipo siku
nitatimiza hiloöalisema Maua.

Maua aliongeza kuwa anatambua muziki wa sasa umekua sana tofauti
na miaka ya nyuma hivyo mipango yake ni kuhakikisha mwaka huu moja ya ndoto
zake zinatimia.Source link

Related Post

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *