Dude Apata Ajali, Akimbizwa Hospitali

Msanii wa filamu Kulwa Kikumba maarufu kama Dude amekimbizwa Hospitali ya Magomeni Jijini Dar Es Salaam baada ya kupata ajali ya Bodaboda kwa kugongwa na gari la kubeba wagonjwa “Ambulance”.Toa comment