Fahamu mafanikio na maisha halisi ya Kingwendu: ‘Ubunge nilijitoa mhanga, Kampeni zilinifilisi, nina watoto 6’ (+video)

5 0

Bongo Five Media imepata bahati ya kufanya mahojiano maalumu na Msanii wa  vichekesho nchini, Rashid Mwishe Said maarufu kama Kingwendu akiwa nyumbani kwake Mbagara Kingugi. Katika mazungumzo hayo Kingwetu ameweka wazi changamoto alizopitia kwenye uchaguzi wa mwaka 2015 ambapo alikuwa akiwania Ubunge na kujikuta akifilisika. Lakini pia mafanikio yake ya sasa ambayo ameyapata kupitia sanaa.

Posted from

Related Post

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *