Femi one kutoka Kenya, Wasanii wa Tanzania wanalogana, natamani kufanya kazi na Harmonize (+Video)

1 0

Msanii wa muziki kutoka Kenya ambaye alitamba na ngoma yake ya #TUTAWEZANA @femi_one yupo Tanzania kwa ajili ya show yake usiku wa leo pale Kidimbwi.

Akiongea na Waandishi wa habari amefunguka mengi sana kuwakubali wasanii wa kike kama @officialnandy @gigy_money_og @mimi_mvrs11 @vanessamdee @rosa_ree na @fridaamaniofficial

Mbali na hilo ameeleza kuwa anatamani sana kufanyta Collabo na @harmonize_tz kwa sababu anapenda uandishi wake.

Pia Femi One amewaasa wasanii kutoka TZ kuacha kualalamika kulogana badala yake kazi ya mtu ndio inaonekana.

Posted from

Related Post

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *