Fid Q afunguka ‘Nahisi ili uwe mwanasiasa lazima uwe muongo, acha nibaki na muziki’

6 0

Msanii wa muziki wa hip hop Fid Q amedai kwamba anahisi ili kuwa mwanasiasa laziwa uwe na chembe chembe za uongo kitu ambacho amedai yeye hakiwezi bora aendelee na muziki wake.

Katika hatua nyingine rapa huyo kutoka Mwanza, amedai msanii @mwanafa ambaye anagombea Ubunge Muheza kama akishinda anafaa kuwa Waziri wa Habari Sanaa na Michezo kutokana na kuwa na uzoezi kwenye tasnia kwa muda mrefu.

Posted from

Related Post

Makazi Mapya Ya Wema Balaa!

Posted by - September 29, 2019 0
Makazi Mapya Ya Wema Balaa! September 29, 2019 by Global Publishers WAKATI wengine wakikalia umbeya; ‘mara ooh kafulia, hana makazi…

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *