Gardner afunguka kwa mara ya kwanza alivyokutana na binti yake ukubwani, sijamkutanisha na Karen (+Video)

1 0

Mtangazaji wa Clouds Fm Gardner amemzungumzia binti yake kwa. mara ya kwanza na kueleza alivyokutana nae ukubwani. Gardner ameeleza kuwa alikutana nae ukubwa ila ni muda kidogo hadi kumuweka wazi watu kumfahamu, ” Sijawakutanisha na Karen bado ila watakutana na kwa upande wangu kila mtoto ana haki sawa hivyo hata mirathi watagawana sawa hakuna upendeleo.

Pia kuhusu Karen ameeleza kuwa haweza kujisikia vibaya kwani imetokea na hivyo anapaswa kukubaliana na kila hali.

Posted from

Related Post

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *