Harmonize aeleza sababu za msanii wake Skales kutoka Nigeria kutofika, Ibrah ndio mtoto wa kwanza (+Video)

5 0

Harmonize amezungumzia sakata la msanii aliyopo chini ya lebo ya Konde Gang raia wa Nigeria Skales ambaye hakuhudhuria katika tukio la kutambulishwa Country boy.

Mbali na hilo pia Ibarah na Country Boy wamezungumza haya kwenye tukio hilo. Ibrah ameelza kuwa “Mimi ndio mtoto wa kwanza katika lebo hii ya Konde Gang hivyo anawakaribisha wenzake kwa ajili ya kuendeleza gurudumu la muziki mbele.

Posted from

Related Post

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *