Harmonize ageuka Commando, alichofanya kwa Mkapa itabaki Historia (+Video)

3 0

Msanii wa muziki kutoka Konde Gang ametua uwanja wa Mkapa kwa staili ya kamba kitu ambacho kiliwafanya maelfu ya mashabiki kumshangalia. Muimbaji huyo alitua uwanjani hapo akiwa na watu zaidi 100 , dansa, walinzi pamoja na watu wa sarakasi.

The post Harmonize ageuka Commando, alichofanya kwa Mkapa itabaki Historia (+Video) appeared first on Bongo5.com.

Posted from

Related Post

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *