Harmonize ameachia video nyingine kutoka kwenye album yake ‘Bed Room’ – Video

5 0

Msanii wa muziki wa Bongo Fleva Harmonize ameachia video ya ngoma yake ambayo inapatikana kwenye album yake ya AFROEAST baada ya ngoma ya MAMA kufanya vizuri.

Album ya HARMONIZE YA afroeast ikumbukwe ina jumla ya ngoma 18 ngoma hiyo ikifanywa na Director JC.

By Ally Juma.

Posted from

Related Post

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *