Harmonize Amsaini Country Boy, Afungukia ‘The Father Night’ – Video

Harmonize amemtambulisha Country Boy kama Msanii mpya wa Konde Gang. Konde Gang wamesema kuwa Country Boy (Father) leo ataachia nyimbo 7 kwa wakati mmoja kwenye usiku uliopewa jina la Father Night.

 

Contury Boy anakuwa Msanii wa nne kutambulishwa kwenye lebo hii baada ya Wasanii wapya Cheed na Killy ambao wote kwa Pamoja wametambulishwa leo.

 Toa comment