Related Post

There are 17 comments

 1. Avatar

  Mimi niliwahi kuowa Msomali alowahi kuishi Mombasa basi niliishi nae kwa miezi 3 tu nikajua kama si njiwa bali ni kunguru hafugiki mambo yake makubwa sana akanishinda

  Reply
 2. Avatar

  Ali kiba c'est homme hipocrite vraiment roho baya hamna lolte hamna kitu toka yapo unataka kiti nakupa kitada kulale. C'est pour ça que ta femme elle partir. Ali kiba c'est homme hipocrite vraiment roho baya

  Reply
 3. Avatar

  Kumbe mkewe ni mchaga…hehee! Sio mkenya wala nini. Ni Mbongo mwenzetu alieibukia mombasa . Kachoka kuhonga kaomba talaka, chezea damu ya kibongo weye😋😋ubuyu mtamu kweli huu😛

  Reply
 4. Avatar

  Lazima awe msiri kulingana amekoma akili aikama lile domo alafu pia nyinyi bongo fst kivip mbona munapenda kusema vitu nahamuna uwakikanavu atakama ni kiki bt sihivi bana juweni kuongea jana tim kiba hawa bongo fst wamechoka hawanachakuongea kihusu kiba wameona wamuingilie maisha yake mbona amumsemi ilo jidomo amefikia wapi kuhusu arusi yake sometimes munaudhi sana nyinyi bongofst

  Reply

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *