Humphrey Polepole: Belle 9 na Bonge la Nyau wameshatoka hospitalini bado Lulu Diva

4 0

Wasanii hao walipata ajali ya gari maeneo ya Chalinze Alfajiri ya kuamkia siku ya Septemba 7, wakati wanarejea Dar Es Salaam baada ya kutoka kwenye kampeni za CCM, Kilolo Mkoani Iringa.

Akitoa taarifa hiyo kwenye ukurasa wake wa Twitter, Humphrey Polepole ameandika kuwa,

Napenda kuwajulisha kuwa vijana wetu Belle 9, Bonge la Nyau wameshatoka hospitali na binti yetu Lulu Diva wote wanaendelea vizuri, Lulu Diva tunaomba Mungu atatoka hospitali leo, ahsante wote kwa support, ahsante zaidi Ummy Mwalimu, Muhimbili Taifa na Rais Magufuli, mungu awabariki

Posted from

Related Post

Kwa Mamilioni Haya, Mondi Katoboa

Posted by - September 2, 2020 0
Kwa Mamilioni Haya, Mondi Katoboa September 2, 2020 by Global Publishers NASIBU Abdul almaarufu kama Diamond Platnumz, amekuwa ni nembo…

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *