Ibraah – NITACHELEWA (Official Lyric Video)

2 0Ibraah – NITACHELEWA (Official Lyric Video)

—IMPORTANT—
Usipite Bila KUSUBSCRIBE ili usipitwe na video Zote Kali Kutoka The Hot Chamber
Please don’t forget to SUBSCRIBE 🙏🙏🙏

LYRICS
Aaah uuh ooh oh, ooh chinga
Ah ah aaaah ah
Aaah uuh ooh oh, ah ah ah

Yeah sijui hata nifanyeje
Sijui hata nifanye nini me
Maana hata siamini
Hmn no ho

Nilikula kiapo nikungoje
Ila bado haiingi akilini
Maana nishakula ya mini yawe

Eh kwa mashogazo ulichota mafumbo
Ngoja ngoja inaniumiza tumbo
Masikini umeshafata mkumbo, Yaani umesepa

Umeziacha zimejaza na rundoo
Na una ponda yangu fupi myundo
Eti unaning’ong’a, tajiri wa uvundo
Ndio chanzo umeniteka, aah

Na naimani nitajijengea
Nisikuwaze kwa ubaya kwa ubaya
Maana before nlitimia
Leo uwe mfano wa bandama umebanduka

Labda yangu nyota imefifia wamekuteka we ah we ah
Simanzi imenielemea shilingi imepinduka

Kama usiporudi (Nitachelewaa)
Oh oh (kupona Nitachelewa)
Ah Nitachelewam mama (Nitachelewa)

Hmm Hmm (kupona Nitachelewa)
Kupona maradhi ya moyo (Nitachelewaa)
Yeah (kupona Nitachelewa)

Kama sio wewe nani tena (Nitachelewaa)
Oh no (kupona Nitachelewa)
Nitachelewa mama

Ah ah aah, hmmm yeah
oh oh oh, yeah
Mi najaribu kujisahaulisha ila moyo unagoma, unagoma
Hasa nikikumba zako methali na nahau

Japo unanionyesha dharau
Moyo hautaki komaa, kukoma
Mwingine sitaki penda na usidhani ka nitakusahau

Oh maana vita penzi lako ntapigana
Nikiamini utarudi we changama
Maana siko sawa ujue, mkuki kwa nguruwe

Kwa binadamu mchungu (Wanaogombana)
Siku zote ndio wananopatana
Ama unapenda mi ninavolalama
Sijui nilipokosa ujue
Na malengo ujue
Mimi najua wewe langu fungu

Na naimani nitajijengea
Nisikuwaze kwa ubaya kwa ubaya
Maana before nlitimia
Leo uwe mfano wa bandama umebanduka

Labda yangu nyota imefifia wamekuteka we ah we ah
Simanzi imenielemea shilingi imepinduka
Kama usiporudi (Nitachelewaa)
Oh oh (kupona Nitachelewa)

Ah Nitachelewam mama (Nitachelewa)
Hmm Hmm (kupona Nitachelewa)
Kupona maradhi ya moyo (Nitachelewaa)
Yeah (kupona Nitachelewa)

Kama sio wewe nani tena (Nitachelewaa)
Oh no (kupona Nitachelewa)
Nitachelewa mama

Chinga, Konde music worldwide
Yeah yeah yeah yeah yeah

•TAGS
ibraah
ibraah tz
nitachelewa
ibraah nitachelewa
ibraah nitachelewa lyrics
ibraah nitachelewa official video
nitachelewa lyrics
nitachelewa video
ibraah nitachelewa video
ibraah nitachelewa official lyrics
nitachelewa by ibraah
nitachelewa lyrics by ibraah
steps EP
ibraah steps EP
nitachelewa ibraah
chinga
ibrah
harmonize
official music video
rayvanny
mbosso
millard ayo
ibraah new song
new songs
konde boy
konde music worldwide
alikiba
diamond platnumz
the hot chamber

#Ibraah #Nitachelewa

source

Related Post

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *