IFC Yawakutanisha Wakurugenzi kutoka Taasisi za Fedha Kwenye Mdahalo

9 0

IFC Yawakutanisha Wakurugenzi kutoka Taasisi za Fedha Kwenye Mdahalo

Kaimu Mkurugenzi wa Benki ya NMB, Ruth Zaipuna akiongea kwenye mdahalo ulioandaliwa na shirika la ‘International Finance Corporation’ (IFC) kuhusu Usawa wa Kijinsia Kazini. Mdahalo huo uliofanyika jana jijini Dar es Salaam, ulikutanisha Wakurugenzi kutoka taasisi za Fedha, Wajasiriamali na Jinsia nchini. Kushoto kwake ni Mkurugenzi wa Benki ya Standard Chartered, Sanjay Rughani na kushoto ni Bi. Hodan Addou kutoka Umoja wa Mataifa.

Kaimu Mkurugenzi wa Benki ya NMB, Ruth Zaipuna akiendela kuzungumza mambo mbalimbali kwenye mdahalo ulioandaliwa na shirika la ‘International Finance Corporation’ (IFC) kuhusu Usawa wa Kijinsia Kazini. 
Loading…

Toa comment

Posted from

Related Post

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *