Je Simba itatetea Ubingwa wake ?, Abbas Pira akichambua kikosi (+Video)

3 0

Ligi Kuu Tanzania Bara imeanza kutimua vumbi rasmi hii leo Septemba 6/2020 ikiwa ni msimu mpya wa 2020/21. Bingwa mtetezi Simba SC ametupa karata yake ya kwanza katika Dimba la Sokoine Mbeya na kufanikiwa kuondoka na alama tatu mbele ya timu iliyopanda dara msimu huu IHEFU SC kwa goli 2 – 1. Mchambuzi Abbas Pira anayaangazia matokeo hayo na Ubora wa vikosi kwa pande zote mbili.

IMEANDIKWA NA HAMZA FUMO, INSTAGRAM @fumo255

Posted from

Related Post

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *