Jezi mpya za Yanga hizi hapa, je kunautofauti gani na za msimu uliyopita ? (+VIDEO)

5 0

Klabu ya Young Africans Sports Club hii leo tarehe 11 Septemba 2020 imezindua rasmi jezi yake mpya ambayo itatumika kwaajili ya msimu wa mwaka 2020/21 Ligi Kuu soka Tanzania Bara pamoja na michuano mingine. @yangasc imezindua uzi huo mpya katika makao makuu ya klabu hiyo yaliyopo Jangwani jijini Dar Es Salaam huku wakijinasibu kuwa ni moja kati ya Jezi bora barani Afrika.

IMEANDIKWA NA HAMZA FUMO, INSTAGRAM @fumo255

Posted from

Related Post

Hotuba za Hitler Zapigwa Mnada

Posted by - October 23, 2020 0
Hotuba za Hitler Zapigwa Mnada October 23, 2020 by cshechambo HOTUBA nane za kiongozi wa zamani wa Ujerumani, Adolf Hilter,…

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *