JPM: Hamuwezi mkachanganya mkanichagua mimi CCM halafu mkaleta mbunge wa Chama Kingine mtakuwa mmepotea (+Video)

3 0

“Hamuwezi mkachanganya mkanichagua mimi CCM halafu mkaleta mbunge wa Chama Kingine mtakuwa mmepotea, nataka niwaeleze ukweli”

“Bila kubana na kuweka mikakati mizuri ya sheria zetu hizi fedha tusingezipata, ikiwa mwaka mmoja tu tumepata mabilioni haya, tangu Tanzania iumbwe tumepoteza Matrioni mangapi?”

“Wachimbaji wakubwa mwaka 2016 walichimba dhahabu kilo 17,587.15, Mwaka huu baada ya serikali kuchukua hatua wameuza kilo 21,652.77 za dhahabu”

Posted from

Related Post

Yanga Kuivaa Coastal Kibabe leo

Posted by - October 3, 2020 0
Yanga Kuivaa Coastal Kibabe leo October 3, 2020 by Global Publishers KIKOSI cha Yanga leo kinatarajiwa kujitupa uwanjani kuvaana na…

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *