JPM: Maendeleo hayateremki kama mvua, hata Corona tumeiondoa kwa kusali mkileta wasiotekeleza ilani mjue twafa (+Video)

7 0

“Maendeleo hayateremki kama mvua, hata Corona tumeiondoa kwa kusali, angalieni nchi zingine kila siku wamejifunga midomoni, hata mke wako unaweza ukamsahau, unaweza usimjue kama ni mwanamke au mwanaume kwa sababu hawakumtangulliza Mungu”

 

“Mkileta watu ambao hawatatekeleza ilani ya uchaguzi mjue twafa, badala ya kupeleka kwenye visima vya maji watapeleka kwenye kulipana posho, na mimi sitawadhibiti kwa sababu siyo wangu, walio wangu ninawajua”

Posted from

Related Post

KMC kujipima na simba, yanga

Posted by - June 3, 2020 0
NA Winfrida Mtoi TIMU ya KMC inatarajia kucheza mechi tatu za kirafiki, mbili dhidi ya Simba na Yanga, leo ikianza…

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *