JPM: Mama Maria Nyerere nakushukuru kwa kuja kuniombea kura, uliniambia Mama yangu anaumwa kwa makusudi ya Mungu wengine tupone (+Video)

4 0

Mama Maria Nyerere nakushukuru sana kwa kuja kuniombea kura, wewe una umri wa Mama yangu, na bado  unatembea, Mama yangu yupo kitandani kwa zaidi ya miaka miwili anakula kwa kutumia mipira, siku tuliyokutana uliniambia Mama yangu anaumwa kwa makusudi ya Mungu ili wengine tupone”

Posted from

Related Post

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *