JPM: Mimi ningeomba Jeshi la Polisi wakati wakiendelea kufanya uchunguzi, mkuu wa shule wamuachie ili wajue kama kulikuwa na ajali kweli au uzembe (+Video)

1 0

“Kutokana na msiba uliotupata nazihimiza mamlaka zote husika TAMISEMI na Wizara ya Elimu kuhakikisha shule zote zinazingatia masuala ya usalama kabla na baada ya kuanzishwa ili madhara ya moto katika shule zetu yasijirudie tena”

“Mimi ningeomba Jeshi la Polisi wakati wakiendelea kufanya uchunguzi, mkuu wa shule wamuachie ili wajue kama kulikuwa na ajali kweli au uzembe kwa sababu hata akiwa nje ataendelea kushirikiana na Polisi kutoa taarifa”

Posted from

Related Post

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *