JPM: nataka tu nieleze ukweli Kitwanga alinisumbua sana kwenye baadhi ya miradi hata ujenzi wa barabara (+Video)

6 0

“Mimi nataka tu nieleze ukweli,  nilikuwa na Mbunge hapa Mh Kitwanga alikuwa ananisumbua sana, baadhi ya miradi nataka kuwaeleza mipango iliyofanyika hapa ni mingi hata hii Barabara haikuwepo katika kipindi cha miaka mitano tuliifanya na aliyenisumbua ni Kitwanga, mnyonge mnyongeni haki yake mpeni alinisumbua sana ujenzi wa barabara hiyo”

Dkt Magufuli ametoa kauli hiyo hii leo Septemba 8, 2020, wakati akizugumza na kumnadi mgombea wa sasa wa Jimbo la Misungwi, Alexander Mnyeti katika eneo la Usagara.

Posted from

Related Post

Hatma ya Mbappe PSG hii hapa

Posted by - January 30, 2020 0
Hatma ya Mbappe PSG hii hapa January 30, 2020 by Global Publishers STRAIKA wa Paris Saint German, Kylian Mbappe, kwa…

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *