JPM: Ngoja nivue kabisa na kofia mnione naweza nikajipatia na mchumba hapa,mimi ndiyo John Pombe Magufuli, ninawaomba kura zenu ndugu zangu wa Bunda (+Video)

5 0

“Mnataka mnione mimi ngoja nivue kabisa na kofia naweza nikajipatia na mchumba hapa, umeniona mama, basi mimi ndiyo John Pombe Magufuli, ninawaomba kura zenu ndugu zangu wa Bunda, Bunda ninaipenda”

The post JPM: Ngoja nivue kabisa na kofia mnione naweza nikajipatia na mchumba hapa,mimi ndiyo John Pombe Magufuli, ninawaomba kura zenu ndugu zangu wa Bunda (+Video) appeared first on Bongo5.com.

Posted from

Related Post

Aussems Afichua Siri Nzito Simba

Posted by - August 16, 2019 0
Aussems Afichua Siri Nzito Simba August 16, 2019 by Global Publishers LICHA ya wengi kuamini kwamba Simba itafanya vizuri msimu…

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *