JPM: Tanzania nzima tuna watumishi 556,000, juzi tumetangaza kuajiri watumishi wengine 13,000 walimu watakaofundisha msingi na sekondari (+Video)

7 0

Kutoka Dar kwenda Dodoma tumeajiri watu zaidi ya 10,000, Tanzania nzima tuna watumishi 556,000, juzi tumetangaza kuajiri watumishi wengine 13,000 walimu watakaofundisha shule za msingi na za sekondari” Dkt. John Pombe Magufuli – Mgombea Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi.

Posted from

Related Post

Nandy Kugonga Shoo 13 Marekani

Posted by - March 7, 2020 0
Nandy Kugonga Shoo 13 Marekani March 7, 2020 by Global Publishers MSANII wa muziki nchini Bongo, Nandy,  anatarajia kufanya ziara…

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *