JPM: Tumeajiri watumishi wa afya zaidi 14,000 sio hawa wanaozungumza tutatengeneza ajira milioni 12 hawajui hata mikakati ya kutengeneza ajira, huwezi ukaplan kutengeneza ajira wakati unasema ndege zisinunuliwe (+Video)

1 0

“Tumeajri madktrari zaidi ya 1,000, tumeajiri watumishi wa afya zaidi 14,000, tunataka tutengeneza ajira milioni nane, sio hawa wanaozungumza tutatengeneza ajira milioni 12 hawajui hata mikakati ya kutengeneza ajira, huwezi ukaplan kutengeneza ajira wakati unasema ndege zisinunuliwe” Dkt. John Pombe Magufuli – Mgombea Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi.

 

Posted from

Related Post

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *