JPM: Tunapochagua mtu hatuchagui sura, mimi sura yangu mbaya kweli lakini tunachotaka ni maendeleo yanayo-focus watu”

3 0

Tunapochagua mtu hatuchagui sura, mimi sura yangu mbaya kweli lakini tunachotaka ni maendeleo yanayo-focus watu””Uongozi ni kutoa sadaka, nimeamua kutoa maisha yangu ya uongozi kama sadaka kwa Watanzania, hii kazi ndugu zangu ni ngumu lakini ninaweza kuifanya tena kwa miaka mitano”

 

Posted from

Related Post

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *