JUMANNE IDD FEAT. LINAH -HOI ( OFFICIAL VIDEO)

10 20#Jumanneidd_ft_Linah_Hoi
Ni Nyimbo ya Mapenzi Special kwa Wawili Wapendanao, ambao wanaoneana wivu na kupata mashaka wasipoonana kwa muda fulani, nahasa unapopiga simu ya mpenzi wako haipokelewi unazidi kupata mawazo huenda yupo na Mwingine. Hebu endelea kupata burudani ya mziki mzuri kutoka kwangu Jumanne Idd nikimshirikisha Linnah Sanga a.k.a Ndege Mnana. Naomba kama umeipenda usiache Kulike na kuacha comment yako Nakupenda sana.

Directed by @Joowzey @Creative Joh
Produced by @ Abbah process @Abbah

Jumanne Idd signed under Sgizo Music Entertainment .
follow me on istagram: Jumanneidd_tz
#JUMANNEIDDFEATLINAH#HOI

source

Related Post

There are 20 comments

  1. Avatar

    Ngoma Kari Sana yani hata ukisikiliza MA10000 haiishiii hamu kabisa mziki mneneπŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’£πŸ’₯πŸ’₯

    Reply

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *