K2ga afunguka kuhusu kudaiwa kumkimbia Alikiba Kings Music (+Video)

17 0

Msanii wa muziki wa Bongo Fleva aliyopo chini ya lebo ya @kingsmusicrecords inayosimamiwa na @officialalikiba @k2ga_tz amefunguka kuhusu taarifa za yeye kujiengua katika lebo hiyo baada ya kukosekana kwenye baadhi ya Show za Alikiba.

Mbali na hilo @k2ga_tz amezungumzia kuhusu @officialcheed na @officialkilly_tz kuondoka Kings Music na kusema kuwa huwa anachati nao ila sio sana.

@k2ga_tz ameongeza kuwa wakati anaenda Kings Music alianmbiwa Alikiba ana roho mbaya sana kutokana na anavyoimba kama yeye.

Posted from

Related Post

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *