KABUGA: TAJIRI Aliyejificha MIAKA 26 AKIKWEPA Kukamatwa -Video


Jina la Felicien Kabuga ni jina maarufu sana hasa nchini Rwanda na Afrika Mashariki kwa ujumla, na umaafufu wake ulitokana na utajiri mkubwa aliokuwa nao bwana huyu.

 

Kama ndo kwa mara ya kwanza unalisikia jina hili, basi huyu ni mmoja kati ya matajiri wakubwa sana waliowahi kuitikisa nchi ya Rwanda, nah ii ni historia yake ya kuzaliwa, kukua, uasi hadi kukamwata kwake.

⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:

⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8

⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCxToa comment