Kanye West: Naungana na ndugu zangu wa Nigeria kukemea ukatliwa wa SARS, lazima serikali ijibu

27 0

 rap nchini Marekani Kanye West ameelezea kuunga mkono Wanaigeria wanaoandamana dhidi ya ukatili uliofanywa na kikosi maarufu cha polisi cha kukabiliana na wizi (Sars).

Maandamano yaliyosambaa kote nchini Nigeria yamemlazimisha Rais Muhammadu Buhari kuvunja kikosi hicho. Lakini waandamanaji wanataka maafisa wa kikosi hicho kukabiliana na mkono wa sheria.

Kanye West ametuma tweet kwamba serikali ya Nigeria “Ntasimama na ndugu zangu wa kiume na kike kutoka Nigeria kutomeza ukatili wa rai wa taifa hilo, lazima Serikali ijibu kilio cha watu “

Posted from

Related Post

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *