Karen – Tabu (Official Video)

10 21#karen #tabu #NgommaTz #tanzania

[Verse 1]

Ukija niacha moyo wangu Nitaumia sana mie
Ndomana nikikuona mwili wote unanitutusika eeh
Kua nawe sina hakika ,utaniua wee!
Mi kunipa pendo lako,kwangu imekua kama njozi,hata pale tufikapo.. Amini naumwa homa!
We sio wa sampuli wala sample
kwangu umekua kama dozi,
hata pale niangukapo,Awe unaniinua savipi ukiniacha?

[Chorus]
Me nitapata tabu oooh tabu! x 4

[Verse 2]
Niko na wewe,kinywa hakineni
yanini niandikie mate ,eti kipya kinyemi maneno ya uvumi yasinichachafye!
Mimi umenifunga semi kwa rafikizo baba usintangazie..
Ona mana fisi bucha hasusiwi hata buti haing’ai bila kiwi malumbano kando hayatakiwi… X2
sasavipi ukiniacha?

[Chorus]
Me nitapata tabu ooooh tabu! x 4

bridge
Tujikongoje tara tara..Taratibu kokote sisi tutafika
Visiwani bara bara..Majaribu usitetereke yatakwisha

[Chorus]
Me nitapata tabu oooh tabu! x 4

source

Related Post

There are 21 comments

  1. Avatar

    Kuanzia leo naanza kukufuatilia , ila sio kwamba kila sku mwanadamu atapendezwa na kaz zako zoteee apana , kuna kupatia na kukosea ndvo ilivyo , ahsantheee sana kwa kaz nzuri , majukumu mema. Mgabu from butiama mara chizi music

    Reply
  2. Avatar

    Huu wimbo bana ni mzuri mnoo yaan sjui imekuaje nimechelewa kuufahamu aisee my today's Auto repeat song , ooo tabu ,, ooo tabu e bwana hisia nzito ndan mpaka unawaza sayar nyngne , embu vuta hisia sasa uko ndan na emu ngoja niache kuandika saaaana

    Reply

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *