Kassim Majaliwa Apita Bila Kupingwa Ubunge Ruangwa

Mgombea ubunge wa Ruangwa Mkoa wa Lindi kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Kassim Majaliwa ametangazwa na msimamizi wa uchaguzi jimbo hilo, Frank Chonya kuwa amepita bila kupingwa na kumkabidhi barua.

Majaliwa ambaye Waziri Mkuu wa Tanzania amekabidhiwa barua ya kupita bila kupingwa na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa ambaye pia ni msimamizi wa uchaguzi jimboni hapo, leo Agosti 25,2020.Toa comment