Kauli ya Harmonize Baada ya Kuwasaini Wasanii wa Kiba

Wasanii wa muziki wa Bongo Fleva ambao walikuwa chini ya Lebo ya Kings Music Records iliyo chini ya Alikiba ambao ni Cheed na Killy waliotambulishwa rasmi kwenye Lebo ya Konde Gang iliyopo chini ya msanii Harmonize.

 

Kupitia ukurasa wa instagram wa Harmonize amepost ujumbe huu akiwatambulisha:- “Brother’s forever ..!!!! welcome @officialkilly_tz & @officialcheed silaha yetu ni upendo pamoja na kazi maana hizo ndio haja za wananchi wanaoifanya leo hii konde music worldwide @kondegang record label kubwa…!!!! so let’s do it…!!!!!!
#kondegang4everybody 🌍🎼🎹🎆🎈🎇🎉🧨🧨🎊🎊🎈🎆🎇🎊🎉🎇🎆🎆🎈🎈 the father night 11/9/2020…″Toa comment