Kauli ya Harmonize baada ya tukio la uwanja wa Mkapa siku ya mwananchi

3 0

Baada ya tukio la msanii wa muziki kutoka Konde Gang kutua uwanja wa Mkapa kwa staili ya aina yake akitumia kamba na kukatisha katikati ya uwanja kitu ambacho kiliwafanya maelfu ya mashabiki kumshangalia.

Mbali na hilo Muimbaji huyo alitua uwanjani hapo akiwa na watu zaidi 100 , dansa, walinzi pamoja na watu wa sarakasi.

Mapema leo amepost video ikimuonyesha akipita juu ya uwanja na kamba na kuandika ujumbe uliosomeka kwamba:-

Posted from

Related Post

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *