Kifo cha kwanza cha mgonjwa wa Corona Tanzania

21 0

Taarifa ya Waziri wa Afya Ummy Mwalimu @ummymwalimu “Ninasikitika kutangaza kifo cha kwanza cha mgonjwa wa corona Tanzania kilichotokea alfajiri ya leo March 31, katika kituo cha matibabu ya wagonjwa wa corona kilichopo Mloganzila DSM, Marehemu ni Mtanzania, Mwanaume mwenye miaka 49, ambaye alikuwa pia akisumbuliwa na maradhi mengine”

Posted from

Related Post

Coutinho: Huku Bundesliga sio poa

Posted by - October 29, 2019 0
MUNICH, Ujerumani KIUNGO mpya wa Bayern Munich aliyetokea Barcelona, Philippe Coutinho, amedai Ligi Kuu ya Ujerumani ‘Bundesliga’ ni ngumu kwa…

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *