Kikosi Cha Yanga Kwa Msimu Wa 2020/21 Hiki Hapa


USIKU wa kuamkia leo Agosti 31 dirisha la usajili lilifungwa rasmi baada ya kufunguliwa Agosti Mosi na Shirikisho la Soka Tanzania,(TFF).

Hiki hapa Kikosi cha wachezaji 28 wa Klabu ya Yanga msimu wa 2020/21

Magolikipa (3)
1-Metacha Mnata
2-Farouk Shikhalo
3-Ramadhan Kabwili

 

Mabeki (8)
4-Paul Godfrey
5-Kibwana Shomari
6-Yasin Mustafa
7-Adeyun Saleh
8-Lamine Moro
9-Bakari Nondo Mwamnyeto
10-Said Juma Makapu
11-Abdallah Shaibu Ninja

 

VIUNGO (12)
12-Mukoko Tonombe
13-Zawadi Mauya
14-Abdulaziz Makame Bui
15-Feisal Salum Fei Toto
16-Haruna Niyonzima
17-Balama Mapinduzi
18-Deus Kaseke
19-Juma Mahadhi
20-Farid Mussa
21-Tuisila Kisinda
22-Benard Morisson
23-Carlos Carlinhos

 

Washambuliji (5)
24-Ditram Nchimbi
25-Adam Kiondo
26-Wazir Junior
27-Yacouba Songne
28-Michael SarpongToa comment