Kikwete: Sijamwacha Mke Wangu – Video

RAIS Mstaafu wa awamu ya nne wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete amesema kuwa hajamuacha mkewe, Mama Salma Kikwete kama baadhi ya watu ambavyo wamekuwa wakisema kuwa ameuacha ndiyo maana ‘anahangaikia ubunge.’

 

Kikwete amesema hayo akiwatania wakwe/shemeji zake wa Lindi ambako ndiko nyumbani kwao na Mama Salma wakati wa kampeni za uchaguzi zinazoendelea nchini.

 Toa comment