Kisa Corona: Boomplay Yatoa Ofa Ya MB za Bure Kwa Watumiaji Wake

App namba 1 barani Afrika inayotoa huduma ya usambazaji muziki, Boomplay imejitolea kuweka ahadi yake ya kuleta muziki wa kila aina ulimwenguni kwa wapenzi wa muziki kwa raha, haswa katika nyakati hizi ngumu, kwani ulimwengu ukiwa umekumbwa na huzuni ya COVID-19.

 

Boomplay imeamua kutoa MB milioni 25 za data bure kwa watumiaji wake ili wasifadhaike katika wakati huu wa kujitenga na janga hili.

 

Una uhuru wa kutumia bando la data kufanyia chochote unachokitaka, kama ni ku-chat na ndugu na marafiki, hata kuangalia movie na pia kusikiliza muziki na kupakua nyimbo kibao zinazopatika BURE kwenye app ya Boomplay.

 

Mambo ni mazuri? Kweli kabisa!

 

Kama unajiuliza ni jinsi gani unaweza kupata mgao wako was muda wa maongezi kununua data, ni rahisi! Bofya hapa: https://Boom.lnk.to/MBMilioni25DataBure kwa maelezo zaidi na kumbuka kujilinda na endelea kukaa salama ukiendelea kupata burudani ya muziki na nyimbo uzipendazo pamoja na playlist kwenye app ya Boomplay!
Toa comment